Hallelujah-Willy Paul FT Nandy
May 21, 2019 / BY shortlink
WILLY PAUL X NANDY - HALLELUJAH (Official Video) ...
Mwanzilishi wa Rickyllobbe
May 13, 2019 / BY shortlink
Mwanzilishi wa blog hii ni maarufu kwa jina la Rickyllobbe.Anahamasisha maendeleo ya nchi yetu ya Tanzania.yeye ni mfano wa kuigwa.Napia Jina la blog ya Rickyllobbe lina tamkwa,RICKY-LOB. ...
Game zuri zaidi la mpira
May 04, 2019 / BY shortlink
Game la mpira bora zaidi ni lipi?, linapatikana wapi?, kwa nini ni bora zaidi?. Endelea kusoma na utapata majibu ya maswali yote hayo kadri unavyoendelea. Game la mpira bora zaidi ni lipi? Dream League Soccer(DLS). Kati ya magemu yote ya mpira niliyowahi kucheza katika simu yangu Dream League Soccer ndio game bora zaidi kwa vigezo nilivyokua nimeviweka. Kwa nini DLS ndio game bora...