Mikoa Ya Nchi Ya Tanzania

by - June 07, 2019


          Karibu Tanzania nchi yenye Amani na utulivu muda wote,mjii mkuu wa nhi ya Tanzania unafahamika kwa jina la Dodoma.Mji mkuu kwa ajili ya Biashara Tanzania unafahamika kwa jina  Dar es salaam.Kivutio kikubwa nchini Tanzania ni mlima Kilimanjaro ambao ni mlima wa kwanza kwa urefu barani Africa. unapatikana katika mkoa wa kilimanjaro,Bila kusahau visiwa vyetu "Zanzibar".Ukija nchini Tanzania utajionea mengi sana.Karibu nyumbani.Mungu Ibariki Africa Mungu Ibariki Tanzania

You May Also Like

0 comments