KILIMANJARO MOUNTAIN

by - June 08, 2019


     Mlima kilimanjaro upatikanao Tanzania ndio mlima mrefu kuliko yote barani Africa,Mlima huu uliweza kugundulika na kuchapwa katika vitabu kwenye miaka ya 1861 na 1865,aliye sababisha mlima kilimanjaro uweze kujulikana ulimwenguni ni mjerumani aitwaye Johannes Rebmann   akiwa na kamanda mwenzake wa kijerumani aitwaye Baron Karl Klaus von der Decken akiwa mkoani kilimanjaro.Mlima huu una urefu wa mita 5895 kwenda juu na ndiyo mlima mrefu kuliko yote barani Africa




You May Also Like

0 comments