Mifuko mipya nchini mwetu,mizuri,haina garama.Mifuko hii pia hachafui mazingira.Tukijaribu tutaweza lakini tukumbuke pia kuwa mifuko ya plastiki haiozi,inasababisha madhara mengi,lakini mifuko hii inaweza kutumika kama mbolea pia.
Mlima kilimanjaro upatikanao Tanzania ndio mlima mrefu kuliko yote barani Africa,Mlima huu uliweza kugundulika na kuchapwa katika vitabu kwenye miaka ya 1861 na 1865,aliye sababisha mlima kilimanjaro uweze kujulikana ulimwenguni ni mjerumani aitwaye Johannes Rebmann akiwa na kamanda mwenzake wa kijerumani aitwaye Baron Karl Klaus von der Decken akiwa mkoani kilimanjaro.Mlima huu una urefu wa mita 5895 kwenda juu na ndiyo mlima mrefu kuliko yote barani Africa
Karibu Tanzania nchi yenye Amani na utulivu muda wote,mjii mkuu wa nhi ya Tanzania unafahamika kwa jina la Dodoma.Mji mkuu kwa ajili ya Biashara Tanzania unafahamika kwa jina Dar es salaam.Kivutio kikubwa nchini Tanzania ni mlima Kilimanjaro ambao ni mlima wa kwanza kwa urefu barani Africa. unapatikana katika mkoa wa kilimanjaro,Bila kusahau visiwa vyetu "Zanzibar".Ukija nchini Tanzania utajionea mengi sana.Karibu nyumbani.Mungu Ibariki Africa Mungu Ibariki Tanzania